Wednesday, July 10, 2013

MICHEZO

JULIAN DRAXLER AICHOMOLEA CHELSEA

                                             Julian Draxler kulia 
MCHEZAJI KINDA NA NYOTA WA SCHALKE JULIAN DRAXLER AMEKANA KUJIHUSISHA NA UHAMISHO WA KWENDA CLUB YA CHELSEA YA UINGEREZA NA KUSISITIZA KUWA BADO ATAENDELEA KUBAKI KILABUNI KWAKE KWA MSIMU MWENGINE WA LIGI

MCHEZAJI HUYO MWENYE UMRI MDOGO WA MIAKA KUMI NA TISA AMEONYESHA KIWANGO CHA HALI YA JUU AKIWA KWENYE LANGO LA TIMU PINZANI.....KIASA CHA KUWAVUTIA MABOSI WA CHELSEA...AMBAO WANAZANI KUWA NI MBADALA WA JUAN MATA AMBAYE ANAONEKANA KAMA KUTAKA KUTUMWEMWA NA KOCHA MACHACHARI WA CHELSEA JOSE MOURINHO....THE SPEACIAL ONE

HAYA NI MANENO YA JULIAN DRAXLER
I have read that I will definitely leave in 2014, but that's nonsense. It's by no means a certainty that I will stay at Schalke for just one more season
Hayo ni maneno ya mchezaji huyo akiwa anakanusha uvumi huo....anaendelea
 I am fully focused on the upcoming season for now and 2014 is still far away. If I receive some financially interesting offers again next year, I will sit down and evaluate what's best for me
TANGU KURUDI KWAKE KATIKA KLABU HIYO YA LONDON MAGHARIBI KOCHA HUYO RAIA WA URENO AMEKUSUDIA NA BADO ANENDELEA NA LENGO LAKE LA KUIMARISHA SAFU YA USHAMBULIAJI KATIKA KIKOSI KWA KUWASAJIRI BAADHI YA WACHEZAJI HUKU AKIBADIRISHA KABISA USO WA KIKOSI CHEKE KUPELEKEA BAADHI YA WACHEZAJI KUTOKUWA NA UHAKIKA WA KUPAGWA KATIKA KIKOSI CHA KWANZA 

No comments: