BAADA YA UVUMI KUZAGAA KUWA MUME WA KOURTNEY KARDASHIAN SCOTT DISICK SI BABA HALALI WA MTOTO MASON,KOURTNEY AMECHUKUWA VIPIMIO KUSIBITISHA KUWA MASON NI MTOTO WA SCOTT
AKIONGEA NA KITUO KIKUBWA CHA HABARI ZA MASTAA CHA {E} HUKO MAREKANI BAADA YA MIAKA MITATU NA NUSU JUU YA UVUMI HUO HATIMAYE KISURA HUYO KUAMUA KUWAZIBA WATU MIDOMO NA KUFANYA VIPIMO HIVYO
KUSIBITISHA HAYO AMEAMUA NA KUTOA COPY YA MAJIBU YA VIPIMO HVYOhttp://images.eonline.com/static/news/pdf/KourtneyPaternity.pdf
No comments:
Post a Comment