RAPPER Dwayne Michael Carter Jr akijulikana na weengi kama Lil Wayne au Birdman Jr toka pande za obamaland ilibidi kuomba radhi kupitia show yake aliyokuwa akifanya pande za Nashville, Tennesse
Wizzy ilibidi kufanya hivyo ni baada ya familia ya marehemu emmett kulalamika juu ya mistari ya wizzy kuwa ilikuwa ukimtusi au kumkashifu mtoto huyo aliyeuwawa miezi kama miwili iliyopita.
Baada ya kupata wakati mgumu kutoka kwa mashabiki wake na hata kuperekea baadhi ya mikataba yake mikubwa kuvunjwa.......
Baada ya kufika katika mistari hiyo iliyoleta utata wakati akiimba nyimbo yake ya "KARATE CHOP" wizzy akaomba radhi "I APOLOGIZE TO THE FAMILY EMMETT TLL"
HII NI VIDEO WAKATI AKIFANYA SHOW YAKE HIYO

No comments:
Post a Comment