Tuesday, October 22, 2013

BIG SURPRISE KANYE WASTE AMVISHA KIM PETE YA UCHUMBA

NI SURPRISED KWA KIM SIKU YA BIRTHDAY YAKE
 KAMA HIYO HAITOSHI WAKATI AKIVISHWA PETE HIYO KULIKUA NA SCREEN KUBWA IKISTUNT ILIYOKUWA  MANENO YALIYOSEMA "PLEEEEEEEEASE MARRY MEEE!!"
HUKU MUZIKI WA ORCHESTRA TARATIBU UKISINDIKIZA ZOEZI HILO
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA